+254 736 414797  

St Monica Njiru

  • About
    • Mission
    • Pastoral Team
    • Pastoral Council
    • Liturgy Committee
    • Patron Saint
    • Mass Times
    • Location
    • Contact
  • Sacraments
  • Ministries
    • JUMUIYAS & CHRISTIAN GROUPS
    • C.W.A
    • ST. MONICA YOUTH
    • C.M.A
    • CHURCH FUNCTIONS
  • Faith Formation
  • Events
    • Calendar
  • Media
    • Gallery
    • Blog
    • Sermons
  • Blessed Pavel
  • Donate
13th Anouncements

13th Anouncements

                                                                                                      13/06/2021.

 

 

MATANGAZO YA PAROKIA.

LEO TUNA ADHIMISHA JUMAPILI YA KUMI NA MOJA. JUMAPILI IJAYO ITAKUWA JUMAPILI YA KUMI NA MBILI KATIKA MWAKA WA KAWAIDA MWAKA B.

  1. Tunawashukuru wote waliohudhuria kikao cha PPC jumapili iliyopita chokaa, pia tunashukuru St. Rita kwa maandalizi, Lakini tunasikitika kutangaza vyama vifuatavyo havikuwakilishwa. Youth, Choir na Cma.
  2. Hadi sasa waliotoa mchango kwa ajili ya family day kifamilia ni kama ifuatavyo:
  • Njiru – 33 Families
  • Saika – 10 Families
  • Maili saba – 5 Families
  • Chokaa – 1 Family
  • Katua – 3 Families

tunaomba wakristu waendelee kutoa na waandike jina la familia, kigango na number ya simu kwenye bahasha.

  1. Fr. Charles atazindua kitabu chake jumapili ijayo tarehe 20 June kule saika, tarehe 27 June atakuwa katua kisha tarehe 04 July atakuwa njiru, anaomba ushirikiano wenu ili kuwasomesha watoto mayatima.
  2. Kutakuwa na kikao cha viongozi wa choir wa parokia pamoja na music directors wa kila kigango jumapili ijayo.
  3. Kutakuwa na semina ya CMA kule kamulu jumamosi ijayo tarehe 19/06/2021.
  4. Wale walio na watoto wachanga wa ubatizo wanaombwa kuchukua forms za ubatizo kwa viongozi wa jumuiya.
  5. Pioneer watakuwa na mkutano jumapili ijayo parokiani baada ya misa ya pili.
  6. YCA watakuwa na semina jumapili ijayo kule maili saba kuanzia saa tatu asubuhi.
  7. Shule ya upili ya Assumtion high school iliyo katua inawatangazia nafasi za kidato cha kwanza hadi tatu.
share
Past event
Annual YSC Mass
Annual YSC Mass

November 21,2021

Parish Bible Trivia
Parish Bible Trivia

November 13,2021

National Prayer Day
National Prayer Day

October 02,2021

photo
  • The Classroom

St MonicaChurch

Baptised And Sent

We are one family, We are the Church.

Pages

  • About Church
  • Sermons
  • Events
  • Login

Contact us

Kangundo Road,Njiru P.O BOX 85-00518 NAIROBI KENYA

Phone: +254 736 414797
Mail: info@stmonicanjiru.com

Recent Sermons

image
Daily reading
December 31, 2020

Receive daily Gospel, b...

© 2025 St Monica Njiru . Developed by Onclick Branding