+254 736 414797  

St Monica Njiru

  • About
    • Mission
    • Pastoral Team
    • Pastoral Council
    • Liturgy Committee
    • Patron Saint
    • Mass Times
    • Location
    • Contact
  • Sacraments
  • Ministries
    • JUMUIYAS & CHRISTIAN GROUPS
    • C.W.A
    • ST. MONICA YOUTH
    • C.M.A
    • CHURCH FUNCTIONS
  • Faith Formation
  • Events
    • Calendar
  • Media
    • Gallery
    • Blog
    • Sermons
  • Blessed Pavel
  • Donate
20th June 2021 Announcements

20th June 2021 Announcements

20/06/2021. MATANGAZO YA PAROKIA. LEO TUNA ADHIMISHA JUMAPILI YA KUMI NA MBILI. JUMAPILI IJAYO ITAKUWA JUMAPILI YA KUMI NA TATU KATIKA MWAKA WA KAWAIDA MWAKA B. 1. Hadi sasa waliotoa mchango kwa ajili ya family day kifamilia ni kama ifuatavyo: - Njiru – 49 Families - Saika – 16 Families - Maili saba – 9 Families - Chokaa – 10 Families - Katua – 6 Families tunaomba wakristu waendelee kutoa na waandike jina la familia, kigango na number ya simu kwenye bahasha. 2. Fr. Charles alizindua kitabu chake, jumapili ijayo tarehe 27 June atakuwa katua kisha tarehe 04 July atakuwa njiru, anaomba ushirikiano wenu ili kuweza kuwasomesha watoto mayatima. 3. Wale walio na watoto wachanga wa ubatizo wanaombwa kuchukua forms za ubatizo kwa viongozi wa jumuiya. 4. Jumapili ijayo tarehe 27/06/2021 kutakuwa na misa ya tatu katua kwa CMA wote wa katua kuanzia saa nne na nusu, watakuwa na chaplain wao Fr. Emmanuel. 5. Matter hospital watakuwa parokiani njiru jumapili ya tarehe 04/07/2021 for free medical checkup, watauza T-shirts za matter heart run kwa shilling mia tano. 6. Shule ya upili ya Assumption high school iliyo katua inawatangazia nafasi za kidato cha kwanza hadi tatu. Interview za kidato cha kwanza zinaendelea

share
Past event
Annual YSC Mass
Annual YSC Mass

November 21,2021

Parish Bible Trivia
Parish Bible Trivia

November 13,2021

National Prayer Day
National Prayer Day

October 02,2021

photo
  • The Classroom

St MonicaChurch

Baptised And Sent

We are one family, We are the Church.

Pages

  • About Church
  • Sermons
  • Events
  • Login

Contact us

Kangundo Road,Njiru P.O BOX 85-00518 NAIROBI KENYA

Phone: +254 736 414797
Mail: info@stmonicanjiru.com

Recent Sermons

image
Daily reading
December 31, 2020

Receive daily Gospel, b...

© 2025 St Monica Njiru . Developed by Onclick Branding