+254 736 414797  

St Monica Njiru

  • About
    • Mission
    • Pastoral Team
    • Pastoral Council
    • Liturgy Committee
    • Patron Saint
    • Mass Times
    • Location
    • Contact
  • Sacraments
  • Ministries
    • JUMUIYAS & CHRISTIAN GROUPS
    • C.W.A
    • ST. MONICA YOUTH
    • C.M.A
    • CHURCH FUNCTIONS
  • Faith Formation
  • Events
    • Calendar
  • Media
    • Gallery
    • Blog
    • Sermons
  • Blessed Pavel
  • Donate
Announcements

Announcements

 

                                                                                                                                                               23/05/2021

 

MATANGAZO YA PAROKIA.

LEO TUNA ADHIMISHA SHEREHE YA PENTECOSTE, TUMEMALIZA KIPINDI CHA PASAKA. JUMAPILI IJAYO ITAKUWA JUMAPILI YA UTATU MTAKATIFU.

  1. Tumechapisha bahasha kwa ajili ya family day, kila familia inaombwa kuchukua bahasha moja. Tuko na mwezi huu wa tano na sita, tujitahidi kutoa mchango huo. Ukituma kutumia paybill account andika jina la familia.
  2. Ndoa za jumla na kipaimara ni Agosti tarehe ishirini na saba.
  3. Misa za familia na jumuiya zinaendelea. Wanaohitaji waandikishe ofisini.
  4. Tunaombwa kuanza kuchangia/kununua viti za balcony. Tuwasiliane na viongozi au ofisi.
  5. Wana kwaya walio teuliwa kwa ajili ya Misa ya upadrisho utakao kuwa tarehe 27th May 2021 wanaombwa kuhudhuria mazoezi leo parokiani njiru kuanzia saa nane mchane.
  6. Cwa watakuwa na commissioning tarehe 6/6/2021, wote ambao watakuwa commissioned wakutane parokiani jumapili ijayo kuanzia saa nane na waje na kadi zao za ubatizo na shilling mia mbili. Pia kwa ajili ya upadrisho kila cwa anaombwa kutoa shillingi mia mbili.
  7. Shule ya upili ya Assumtion high school iliyo katua inawatangazia nafasi za kidato cha kwanza hadi tatu. Mwalimu mkuu pamoja na shule nzima inawashukuru wote walioshirikiana naoi li kufanikisha mtihani wao wa K.C.S.E, mwanafunzi wa kwanza alikuwa na B (66) points
  8. Tuendelee kufuata maagizo yaliyotolewa na serikali kwa sababu ya covid 19.

 

share
Past event
Annual YSC Mass
Annual YSC Mass

November 21,2021

Parish Bible Trivia
Parish Bible Trivia

November 13,2021

National Prayer Day
National Prayer Day

October 02,2021

photo
  • The Classroom

St MonicaChurch

Baptised And Sent

We are one family, We are the Church.

Pages

  • About Church
  • Sermons
  • Events
  • Login

Contact us

Kangundo Road,Njiru P.O BOX 85-00518 NAIROBI KENYA

Phone: +254 736 414797
Mail: info@stmonicanjiru.com

Recent Sermons

image
Daily reading
December 31, 2020

Receive daily Gospel, b...

© 2025 St Monica Njiru . Developed by Onclick Branding