+254 736 414797  

St Monica Njiru

  • About
    • Mission
    • Pastoral Team
    • Pastoral Council
    • Liturgy Committee
    • Patron Saint
    • Mass Times
    • Location
    • Contact
  • Sacraments
  • Ministries
    • JUMUIYAS & CHRISTIAN GROUPS
    • C.W.A
    • ST. MONICA YOUTH
    • C.M.A
    • CHURCH FUNCTIONS
  • Faith Formation
  • Events
    • Calendar
  • Media
    • Gallery
    • Blog
    • Sermons
  • Blessed Pavel
  • Donate
matangazo

matangazo

06/06/2021

 

 

MATANGAZO YA PAROKIA.

LEO TUNA ADHIMISHA SHEREHE YA MWILI NA DAMU YA KRISTU. JUMAPILI IJAYO ITAKUWA JUMAPILI YA KUMI NA MOJA KATIKA MWAKA WA KAWAIDA MWAKA B.

  1. Wale walio chukua bahasha kwa ajili ya mchango wa family day wanaombwa kuanza kuzirudisha, pia tunahimiza waandike jina la familia, kigango na number ya simu kwenye bahasha.
  2. Tunaendelea kuwakumbusha wakristu kujiandikisha kwa ajili ya ndoa za jumla za mwezi wa Agosti tarehe ishirini na saba mwaka huu.
  3. Jumapili ijayo tarehe 13/06/2021, Fr Peter Gatuna atakuwa na misa ya shukrani parokiani njiru, atasoma misa zote tatu. Mnakaribishwa.
  4. Kutakuwa na kikao cha viongozi wa choir wa parokia pamoja na music directors wa kila kigango jumapili ya tarehe 20/06/2021. Choirs pia watakuwa na rotational program jumapili ijayo tarehe 13/06/2021.
  5. Wana moyo mtakatifu watakuwa na recollection kule resurrection garden jumamosi ijayo tarehe 12/06/2021. Nauli ni shillingi mia nne na basi litaondoka saa moja asubuhi. Wote mnakaribishwa.
  6. Vigango ambavyo havikutoa mchango wa vocation Sunday wanaombwa kufanya hivyo jumapili hii.
  7. Kutakuwa na semina ya CMA kule kamulu tarehe 19/06/2021. Wote wanaombwa kuhudhuria, walio kwa formation classes pia wote wahudhurie bila kukosa.
  8. Shule ya upili ya Assumtion high school iliyo katua inawatangazia nafasi za kidato cha kwanza hadi tatu. Wale pia ambao wangependa kurudia mtihani wanaombwa kujifikisha shuleni. mwanafunzi wa kwanza alikuwa na B (66) points
  9. Tunaendelea kusajili wanafunzi wapya wa computer parokiani kwa bei nafuu, wote walio maliza kidato cha nne wanakaribishwa.
share
Past event
Annual YSC Mass
Annual YSC Mass

November 21,2021

Parish Bible Trivia
Parish Bible Trivia

November 13,2021

National Prayer Day
National Prayer Day

October 02,2021

photo
  • The Classroom

St MonicaChurch

Baptised And Sent

We are one family, We are the Church.

Pages

  • About Church
  • Sermons
  • Events
  • Login

Contact us

Kangundo Road,Njiru P.O BOX 85-00518 NAIROBI KENYA

Phone: +254 736 414797
Mail: info@stmonicanjiru.com

Recent Sermons

image
Daily reading
December 31, 2020

Receive daily Gospel, b...

© 2025 St Monica Njiru . Developed by Onclick Branding